Ingia / Jisajili

Mungu Nalikulilia

Mtunzi: Gaudence F. Mtui
> Mfahamu Zaidi Gaudence F. Mtui
> Tazama Nyimbo nyingine za Gaudence F. Mtui

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gaudence Mtui

Umepakuliwa mara 1,074 | Umetazamwa mara 2,768

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

(Ee Bwana bwana Mungu wangu)  Mungu wangu nalikulilia naslilkulilia e Bwana, nalikulilia e Mungu wangu nalikulilia, Ee Bwana Mungu wangu nalikulilia e bwana Mungu wangu ukaniponya x2

Mashairi:

  1. Ee bwana nitakutukuza kwa maana uminiinua, wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu, umeniinua nafsi yangu kutoka kuzimu, umenihuisha na kunitoa miongoni mwao washukao shimoni.
     
  2. Mwimbieni Bwana zaburi enyi wataua wake, na kufanya shukurani kwa kumbu kumbu la utakatifu wake, maana ghadhabu yake niyakitambo kidogo, katika radhi yake mna uhai.
     
  3. Ee Bwana usikie unirehemu, Bwana uwe msaidizi wangu, uligeuza matanga yangu kuwa machezo,  ulinivua gunia ukanivika furaha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa