Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unijulishe Njia Zako.

Mtunzi: SIMON R.M.AKWAIH
> Mfahamu Zaidi SIMON R.M.AKWAIH
> Tazama Nyimbo nyingine za SIMON R.M.AKWAIH

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Simon Akwaih

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 26

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana unijulishe njia ee Bwana unijulishe njia njia zako.x 2. 1.Ee Bwana unijulishe njia zako unifundishe mapito Yako,uniongoze katika kweli yako na kunifundisha maana wewe wewe Mungu wa wakovu wa wokovu wangu. 2.Ee Bwana kumbuka rehema zako na fadhili zako maana zimekuwako tokea zamani unikumbuke kwa ajili ya fadhili zako ee Bwana kwa ajili ya wema wako. 3.Bwana ni mwema kwa watu wake, kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia, wenye upole atawaongoza katika hukumu wenye upole atawafundisha njia yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa