Ingia / Jisajili

Enendeni Ulimwenguni

Mtunzi: SIMON R.M.AKWAIH
> Mfahamu Zaidi SIMON R.M.AKWAIH
> Tazama Nyimbo nyingine za SIMON R.M.AKWAIH

Makundi Nyimbo: Miito | Zaburi

Umepakiwa na: Simon Akwaih

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 10

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enendeni (enendeni),ulimwenguni pote (pote) mkaihuburi injili ya Bwana x2. Mashairi . 1.Mkaihubiri injili kwa mataifa yote wasioamini mkawafundishe yote niliyoamuru. 2.Enyi mataifa yote msifuni Bwana enyi watu wote mhimidini. 3.Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu na uaminifu wa Bwana ni wa milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa