Mtunzi: SIMON R.M.AKWAIH
> Mfahamu Zaidi SIMON R.M.AKWAIH
> Tazama Nyimbo nyingine za SIMON R.M.AKWAIH
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Simon Akwaih
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiMtakatifu Gregory Mkuu tuombee x2 . Utuombee Kwa Mungu ili tupate amani, utume wetu uimbaji utupatie Baraka tele x2.
1. Mtakatifu Papa, Gregory Mkuu, tuombee Baba tuyashinde yote magumu.
2. Na unyenyekevu ,ndiyo sifa yako, tuombee nasi, tumche Mungu Kwa bidii.
3.Tuombee nasi, tuwe na upendo, tuwe na umoja, tushikamane siku zote.
4. Baada ya yote, nasi tuje huko, tuungane nawe katika raha ya Mbinguni.