Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wa Galilaya

Mtunzi: SIMON R.M.AKWAIH
> Mfahamu Zaidi SIMON R.M.AKWAIH
> Tazama Nyimbo nyingine za SIMON R.M.AKWAIH

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Mwanzo

Umepakiwa na: Simon Akwaih

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 7

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wa Galilaya mbona mmesimama mkitazama mbinguni atakuja vivyo hivyo mlivyomwona akienda zake mbinguni Aleluya x2. 1.Walipokuwa wakikaza macho mbinguni yeye alipoinuliwa tazama,watu wawili wakasimama karibu nao wenye nguo nyeupe wakisema. 2.Atakuja vivyo hivyo mlivyomwona akienda zake aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa