Ingia / Jisajili

FURAHINI KATIKA BWANA

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 349 | Umetazamwa mara 1,806

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
FURAHINI FURAHINI KATIKA BWANA TENA NASEMA FURAHINI BWANA YUKARIBU X2. (1).FURAHINI daima katika Bwana TENA NASEMA FURAHINI. (2).U pole wenu na ujulikane na watu wote Bwana YUKARIBU.(3)Msijisumbue kwa NENO lolote hila katika kilaneno haja zenu zijulikane kwa mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa