Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Wavipenda

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 102 | Umetazamwa mara 134

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Jumatano ya Majivu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana Wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo , Wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba 1.Unawasamehe watu dhambi zao, ili wapate kutubu, nakuwahurumia. 2.Kwa kuwa wewe ndiwe Bwana Mungu wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa