Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyo Tutendea Umeyatenda Kwa Haki

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 35 | Umetazamwa mara 74

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA YOTE UIIYO (EE BWANA)TUTENDEA UMEYATENDA KWA HAKI X2 (A) KWA KUWA SISI TUMETENDA DHAMBI. (B).WALA HATU KUZITII AMRI ZAKO. ULITUKUZE JINA LAKO NA KUTUTENDEA SAWA SAWA NA WINGI WA HURUMA ZAKO. (MASHAHIRI) (1).Ee Mungu unirehemu sawasawa nafadhili ZAKO. Unioshe kabisa unitakase zambi zangu zote. (2).Maana Mimi nimeyajua makosa na DHAMBI yangu imbele yangu mbele yangu Daima.(3).Natuwatukuze Baba na Mwana na Roho mtakatifu. Tangu mwanzo na Sasa na hata milele Amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa