Ingia / Jisajili

Ee Mungu Ngao Yetu

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE MUNGU NGAO YETU

Ee Mungu ngao yetu, uangalie, umtazame uso Masiya wako, (hakika siku moja katika nyua zako, ni bora kuliko siku elfu)x2

1. Ningependa kuwa bawaba nyumbani mwa Mungu wangu, kuliko kukaa katika hema za uovu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa