Ingia / Jisajili

Ee Mungu Uniumbie Moyo Safi

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 69 | Umetazamwa mara 151

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE MUNGU UNIUMBIE MOYO SAFI UIFANYE UPYA ROHO lLIYOTULIA NDANI YANGU.X2 USINITENGE NA USO WAKO WALA ROHO YAKO MTAKATIFU USINIONDOLEE X2 fine (1)Ee Mungu unirehemu .sawasawa na fadhili zako.kiasi cha wingi wa rehema zako .uyafute makosa yangu.unioshe kabisa nauovu WANGU.unitakase dhambi zangu.(2)EE Mungu UNIUMBIE MOYO safi .UIFANYE upya roho iiliyo tulia NDANI yangu .Usinitenge na uso wako.wala Roho yako mtakatifu usiniondolee (3).Unirudishie furaha ya wokovu wako.unitegemeze KWA roho ya wepesi.nitawafundisha wakosaji njia zako.na wenye dhambi watarejea kwako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa