Mtunzi: Alex Mwashemele
> Mfahamu Zaidi Alex Mwashemele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Mwashemele
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: alexander mwashemele
Umepakuliwa mara 843 | Umetazamwa mara 2,420
Download Nota Download MidiUtushibishe kwa fadhili zako Ee Bwana ili tuufurahi EeBwana *2 utushibishe Ee Bwana utushibishe ,Utushibishe kwa fadhili zako Ee Bwana ili tuufurahi tufurahi Bwana *2
Mashairi
1.Utujulishe kuzihesabu siku zetu ,tujipatie moyo wa heshima Ee Bwana urudi hata lini? uwahurumie watumishi wako/ uwahurumie watumishi wako/
2.Utusibishe asubuhi kwa fadhili tutashangilia na kufurahi siku zetu zote tufurahishwe kwa kadili ya siku ulizo tutesa ,miaka ile tuliyo ona mabaya.