Ingia / Jisajili

Mpenzi Wangu Nakupenda

Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Paulo prince kabazo

Umepakuliwa mara 317 | Umetazamwa mara 563

Download Nota
Maneno ya wimbo
K/ Mpenzi Wangu nakupenda, mpenzi Wangu mpenzi Wangu, Leo tumeunganishwa uwe wangu wamilele. Hata katika magumu nitazidi kukupenda nawala sitokuacha mpenzi wangu mpenzi wangu. 1. Hapo mwanzo Mungu alisema si vizuri, mtu huyu hawe pekeake duniani, nitamfanyizia msaidizi bora, wakufanana naye 2. Mara ya kwanza nilipokuona nakumbuka, moyo wangu ulisisimka kwa furaha, nikasema moyoni mtu huyu ninani, nikapata jibu ndiye mpendwa wangu. 3. Uzuri wako nikama mauwa mabichi, nayo macho yako ni meupe kama theluji, mara najiuliza kweli umezaliwa, hau umeshushwa toka juu mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa