Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Unifadhili

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Richard Samson

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wewe Bwana, Wewe Bwana unifadhili x2.

Maana nakulilia wewe maana nakulilia wewe (Bwana) nakulilia wewe mchana kutwa x2.

1. Kwa maana wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao.

2. Uifurahishe nafsi ya mtumishi mtumishi wako, maana nafsi yangu nakuinulia wewe.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa