Ingia / Jisajili

Astahili Mwanakondoo

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mwanzo

Umepakiwa na: Richard Samson

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima x2.

1. Utukufu na ukuu una Yeye, Utukufu na ukuu, una yeye hata milele na milele.

2. Yeye ni Alfa na Omega, yani mwanzo na mwisho, Bwana Mungu, aliyekuwako na atakayekuja.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa