Mtunzi: Deogratias Rwechungura
                     
 > Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura                 
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 13
Download Nota Download MidiENYI WATU WA GALILAYA
Enyi watu wa Galilaya, mbona mmesimama, mkitazama mbinguni x2
1. Yesu atakuja jinsi hiyo hiyo, mlivyomwona akienda zake mbinguni, Aleluya