Mtunzi: Deogratias Rwechungura
                     
 > Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura                 
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 11
Download Nota Download MidiBWANA ATAWABARIKI
Bwana atawabariki (wabariki) watu wake kwa amani x2
1. Mpeni Bwan enyi wana wa Mungu, mpeni Bwana utukufu na nguvu/
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake, mwabuduni kwa uzuri wa utakatifu