Mtunzi: John D. Kajala
> Tazama Nyimbo nyingine za John D. Kajala
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,985 | Umetazamwa mara 4,418
Download Nota Download MidiEnyi watu wa Galileya mbona mmesimama mbona mmesimama mkitazama mbinguni atakuja vivyohivyo mlivyomwona akienda zake mbinguni Aleluya x2
1. Enyi watu wote wa Galileya mwatazama nini? Bwana amepaa mbinguni kwa shangwe
2. Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni Aleluya
3. Bwana atakuja vivyo hivyo mlivyo mwona akienda mbinguni Aleluya