Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wote

Mtunzi: Deogratius Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratius Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Rwechungura

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 16

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 13 Mwaka B

Download Nota
Maneno ya wimbo
ENYI WATU WOTE Enyi watu wote pigeni makofi x2 Mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe x2 1. Kwakuwa Bwana aliye juu, mwenye kuogofya, ndiye Mfalme mkuu juu ya dunia yote 2. Atukuzwe Baba pia Mwana, pia atukuzwe, Roho Mtakatifu milele hata milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa