Ingia / Jisajili

Hubirini Kwa Sauti Ya Kuimba

Mtunzi: John Mlelwa
> Mfahamu Zaidi John Mlelwa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlelwa

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: John Mlelwa

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kiitikio 

Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya, tangazeni haya yatamkeni mpaka mwisho wa Dunia, semeni Bwana, semeni Bwana, amelikomboa Taifa lake Aleluya.

Shairi 1 - Yatamkeni mpaka mwisho, mpaka mwisho wa Dunia, semeni Bwana amelikomboa Taifa lake 

Shairi 2 - wapasheni mataifa, mataifa habari zake, pazeni sauti juu ya milima na vilima 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa