Ingia / Jisajili

FURAHI YERUSALEMU

Maneno ya wimbo

FURAHI YERUSALEMU

Furahi Yerusalemu, mshangilieni ninyi nyote mmpendao

1. Furahini ninyi nyote mliao kwa ajili, na kwa ajili yake

2. Mtapata kunyonya na kushibishwa kwa maziwa ya faraja yake


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa