Ingia / Jisajili

Kinywa Changu Kitasimulia

Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias

Umepakuliwa mara 55 | Umetazamwa mara 282

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KINYWA CHANGU KITASIMULIA Kinywa changu kitasimulia, (kinywa) kitasimulia haki na wokovu wako. X2 1. Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele. kwa haki yako uniponye, uniopoe, Ee Bwana 2. Unitegee sikio lako uniokoe Ee Bwana, uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, nitakakokwenda siku zote 3. Umeamuru niokolewe, ndiwe genge langu na ngome yangu ee Mungu wanguuniopoe mikononi mwa mtu mkorofi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa