Ingia / Jisajili

Makusudi Ya Moyo Wake

Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung

Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias

Umepakuliwa mara 201 | Umetazamwa mara 555

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Moyo Mtakatifu wa Yesu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MAKUSUDI YA MOYO WAKE Makusudi ya moyo, moyo wake, X2 ni ya vizazi, niyavizazi, ni ya vizazi, ni ya vizazi, hata vizazi.X2 1. Yeye huwaponywa nafsi, nafsi zao na mauti, nakuwa huisha, huisha huisha wakati wa njaa, nakuwa huisha, huisha, huisha wakati wa njaa. 2. Nafsi zetu zinamngoja, zinamngoja, Bwana, Bwana ni msaada, ni ngao, nikimbilio letu sote, Bwana ni Msaada, ni ngao, ni kimbilio letu sote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa