Ingia / Jisajili

GUSA MOYO WANGU

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 771 | Umetazamwa mara 2,259

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
GUSA MOYO WANGU R/ Gusa moyo wangu Yesu, gusa akili yangu,unifiche mtoto wako ndani ya jeraha zako, ondoa hofu na mashaka yangu, nitambue kwako lipo tulizo kuu, unijalie ewe Yesu mwema, nipate pumziko mikononi mwako. 1.Unijalie ee Yesu wa Ekaristi, imani matumaini kwako, maisha yangu nayaleta kwako. 2.Ukunjue Bwana mkono wa uponyaji, kwa rehema unifanye wako, niondolee mateso haya. 3.Usikubali nitengane nawe Yesu, na maovu yote unikinge,unisafishe Bwana nitakate. 4.Saa ya kufa kwangu Bwana uniite, uniamuru nije kwako, nikutukuze milele amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa