Ingia / Jisajili

EE BWANA UNIJULISHE NJIA ZAKO

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 755 | Umetazamwa mara 2,033

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 26 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka B
- Katikati Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C
- Katikati Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiit: Ee Bwana unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako, uniongoze katika kweli yako, na kunifundisha maana wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu. 1.Ee Bwana kumbuka rehema zako na fadhili zako, maana zimekuwako tokea zamani. 2.Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee Bwana kwa ajili ya wema wako. 3.Bwana yu mwema na mwenye adili, kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia. 4.Wenye upole atawaongoza katika hukumu, wenye upole atawafundisha njia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa