Ingia / Jisajili

Hakuna Mungu Kama Wewe

Mtunzi: Daniel P. Mnyawi
> Mfahamu Zaidi Daniel P. Mnyawi
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel P. Mnyawi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Daniel Mnyawi

Umepakuliwa mara 239 | Umetazamwa mara 540

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio ; Ni nani ni nani ni nani ni nani aliye sawa na wewe Bwana ×2. Hakuna Mungu hakuna, hakuna Mungu kama wewe, Mungu wa miungu, Bwana wa mabwana, Mungu usiyeshindwa×2. 1. Mungu mwenye nguvu, Mungu mwenye uweza. Katikati ya miungu sijamwona kama wewe. 2. Mungu wa huruma, Mungu mwenye kusamehe. Katikati ya miungu nitaziimba sifa zako. 3. Mungu wa upendo, Mungu unayeokoa. Katikati ya miungu nitalisifu jina lako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa