Ingia / Jisajili

Yote Uliyotutendea

Mtunzi: Daniel P. Mnyawi
> Mfahamu Zaidi Daniel P. Mnyawi
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel P. Mnyawi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Daniel Mnyawi

Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 31

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Ee Bwana yote uliyotutendea, umeyatenda kwa haki, kwa kuwa sisi tumetenda dhambi, wala hatukuzitii amri zako×2 1. Ulitukuze jina lako na kututendea, sawasawa na wingi wa huruma yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa