Mtunzi: Kelvin Masoud
> Mfahamu Zaidi Kelvin Masoud
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Masoud
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: kelvin masoud
Umepakuliwa mara 462 | Umetazamwa mara 1,899
Download Notamahali hapa panatisha kama nini,bila shaka hapo ndipo nyumba ya mungu,napo ndipo lango la mbinguni lilipofunguliwa. akaondoka asubuhi na mapema kisha akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake. akalisimamisha kama nguzo kuu, nakumimina mafuta juu yakee,akita jina la mahali pale betheli.