Ingia / Jisajili

KWA MAANA WEWE U MWEMA, UMEKUWA TAYARI KUSAMEHE Zaburi 86

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 782 | Umetazamwa mara 2,072

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Kwa maana wewe u mwema, umekuwa tayari kusamehe. wewe Bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili kwa watu, watu wote wakuitao. 1.Ee Bwana uyasikie maombi yangu ; uisikilize sauti ya dua zangu. 2. Mataifa yote uliowafanya watakuja; watakuja kukusujudia wewe Bwana. 3.Watalitukuza jina lako e Bwana, kwa kuwa wewe ndiwe uliye mkuu. 4.wewe ndiwe mfanya miujiza wewe ndiwe Mungu peke yako. 5.Lakini wewe Bwana u mwema, u Mungu wa rehema na neema. 6.Mvumilivu mwingi wa fadhili na kweli, unielekee na kunifadhili mimi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa