Ingia / Jisajili

Harufu Nzuri

Mtunzi: Elias Majaliwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Majaliwa

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 16,440 | Umetazamwa mara 23,416

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sala yangu na ipae mbele yako Bwana kama moshi wa ubani moshi wa ubani ||x2 Na kuinuliwa mbele ya uso wako (Bwana) uso wako uso wako mtakatifu || ikupendeze Ee Mungu || X4

  1. Ee Mungu tunakuomba uipokee sadaka yetu ya leo kwa moyo wa huruma ee Mungu kwa moyo wa huruma
  2. Harufu nzuri ya ubani izisindikize sala zetu za leo nayo maombi yetu ee Mungu nayo maombi yetu 

Maoni - Toa Maoni

Samuel Gitau Jun 09, 2024
Pongeza

Idiphonce May 18, 2016
umeweza sana na pia nimesiki rekodi yenyewe kwaya ya mt,bakitha-nyangao.ongera sanaaa

Toa Maoni yako hapa