Ingia / Jisajili

Waraka Wa Bwana Yesu (Imetupasa - Ndebele Melody)

Mtunzi: Elias Majaliwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Majaliwa

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 7,525 | Umetazamwa mara 11,086

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

John munishi Mar 03, 2022
Hongera sana kwa mtunzi

Baraka Jun 23, 2021
Wimbo mzuri

Nakupenda huu wimbo sana. Hongera kaka. Naimbisha kila choir naenda Mar 10, 2020
Pongezi kazi mzuri.... ningependa unitungie was kurekodi

George Joseph bulugu Sep 16, 2018
Wimbo mzur sana jaman

michael baseke Aug 03, 2017
mimi nakupongeza sana namungu akubariki.

Gerold Mgimwa Nov 22, 2016
Pongezi kwa kazi nzuri ya kutusogeza karibu na watunzi mbalimbali, pia kutudumishia utume wa uimbaji. Kuna wimbo wa E.Majaliwa " Salini kila wakati" kuna maneno yasemayo " liwe baya liwe zuri kwa Mungu yote in sawa" hapo teologia take ikoje maana Parokia ya Kristo Mfufuka(Muheza-Tanga) tumezuiliwa kuimba wimbi huo sababu ni hayo maneno ( katuambia inamaana hata tukifanya jambo baya kwa Mungu ni zuri??) naomba msaada katika hilo, pengine hata jinsi yakufikisha Ujumbe kwa Mtunzi. Asanteni sana. Mungu awabariki na abariki kazi mnayoifanya kwa sifa na Utukufu wake.AMINA

Toa Maoni yako hapa