Mtunzi: Elias Majaliwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Majaliwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 18,252 | Umetazamwa mara 28,003
Download Nota Download MidiMeza ya upendo na upatanisho meza ya heri na amani imeandaliwa kwa ajili yetu njoni wote tuijongee x2
1. Kwa upendo wake Yesu kwa upendo wake Yesu amejitoa kuwa chakula cha uzima wetu mwili damu yake Yesu ni uzima wa milele
2. Ndani yake Yesu Kristu zimo heri za mbinguni wanayo heri wanayo heri wanaopokea mwili damu yake Yesu ni uzima wa milele
3. Ndani yake Yesu Kristo kuna tunu za mbinguni upatanisho wetu na Mungu upo ndani yake mwili damu yake Yesu ni uzima wa milele