Mtunzi: Gabriel Kapungu
> Mfahamu Zaidi Gabriel Kapungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel Kapungu
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Gabriel Kapungu
Umepakuliwa mara 578 | Umetazamwa mara 1,837
Download Nota Download MidiHERI KILA MTU.
Heri kila mtu amchaye Bwana ,heri kila mtu amchaye Bwana aendaye , katika njia zake. X 2.
1: Tabu ya mikono yake hakika utaila, utakuwa heri na kwako kwema.
2: Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, vyumbani mwa nyumba yako. Wanao kama miche ya mizeituni, wakiizunguka meza yako.
3: Tazama atabarikiwa hivyo yule amchaye Bwana. Bwana atubariki toka Sayuni, uone uheri wa Yerusalemu. Siku zote za maisha yako.