Ingia / Jisajili

HERI NDUGU UMEALIKWA

Mtunzi: ERASMOS MBOYA
> Mfahamu Zaidi ERASMOS MBOYA
> Tazama Nyimbo nyingine za ERASMOS MBOYA

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: erasmos mboya

Umepakuliwa mara 237 | Umetazamwa mara 958

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Heri ndugu umealikwa mezani kwa Bwana, mezani kwa Bwana.*2 Kwa moyo mnyenyekevu sasa jongea, kwa moyo safi ukampokee (enyi) wateule wake meza i tayari*2 1. Jisafishe kwanza nafsi yako kabla ya kwenda kushiriki meza yake. 2. Kama umemkosea Mungu, Mungu Mwenyezi kapatane naye kwanza 3.Kama umemkosea jirani, jirani yako kapatane naye kwanza. 4.Hakika kama hujaungama dhambi zako wajihukumu we' mwenyewe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa