Ingia / Jisajili

Hongera-Pongezi kwa Wanandoa

Mtunzi: ERASMOS MBOYA
> Mfahamu Zaidi ERASMOS MBOYA
> Tazama Nyimbo nyingine za ERASMOS MBOYA

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: erasmos mboya

Umepakuliwa mara 225 | Umetazamwa mara 928

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hongera tunawapongeza, Kongole maharusi wetu hongera tunawapongeza, Mungu amewaunganisha leo kwenye maisha ya ndoa takatifu. 1. Tazama umewaacha wote umeambatana na mkeo sasa mmekuwa mwili mmoja Bwana Mungu wetu awe nanyi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa