Ingia / Jisajili

Hongera Maharusi wetu.

Mtunzi: ERASMOS MBOYA
> Mfahamu Zaidi ERASMOS MBOYA
> Tazama Nyimbo nyingine za ERASMOS MBOYA

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: erasmos mboya

Umepakuliwa mara 361 | Umetazamwa mara 788

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hongera tunawapongeza, kongole maharusi wetu. Hongera tunawapongeza, Mungu amewaunganisha leo kwenye maisha ya ndoa takatifu. 1. Tazama umewaacha wote umeambatana na mkeo sasa mmekuwa mwili mmoja, Bwana Mungu wetu awe nanyi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa