Ingia / Jisajili

Ufurahi Moyo wao.

Mtunzi: ERASMOS MBOYA
> Mfahamu Zaidi ERASMOS MBOYA
> Tazama Nyimbo nyingine za ERASMOS MBOYA

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: erasmos mboya

Umepakuliwa mara 269 | Umetazamwa mara 1,003

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana x 2 Mtakeni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote x 2 Mashairi: 1. Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya, miujiza yake na hukumu za kinywa chake. 2.Enyi wazao wa Ibrahimu mtumishi wake enyi wana wa Yakobo mteule wake. 3.Zitafakarini ajabu zake, zake zote Bwana jisifuni kwa jina lake Takatifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa