Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,064 | Umetazamwa mara 3,668
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 Mwaka C
Heri walio maskini wa Roho kwa maana ufalme wa mbinguni wao x 2.
Mashairi:
1. Huisika kweli milele, uwafanyia hukumu walioonewa huwapa wenye njaa chakula Bwana hufungua waliofungwa.
2. Bwana uwafumbua macho, waliopofuka Bwana huwainua walioinama, Bwana uwahifadhi wageni huwateemeza yatima na wajane.
3. Bwana huwapenda wenye haki, bali njia ya wasio haki huipotosha, Bwana atamiliki milele,Mungu wako Ee sayuni kizazi hata kizazi.