Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,830 | Umetazamwa mara 10,135
Download Nota Download MidiHii ndiyo siku aliyoifanya Bwana tuishangilie na tuimbe aleluya aleluya x 2.
Mashairi:
1 (a) Msukuruni Bwana kwakuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele
(b) Israeli naye na aseme sasa ya kwamba na fadhili zake ni za milele
2 (a) Mkono wa kuume mkono wake Bwana umetukuzwa na pia utenda makuu
(b) Sitakufa mimi bali nitaishi nitayasimulia matendo yake Bwana
3 (a) Neno hili kweli latoka kwa Bwana nalo ni la ajabu ajabu machoni petu.
(b) Jiwe walilolikataa waasi limekuwa ndilo jiwe kuu la pembeni.