Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 631 | Umetazamwa mara 2,929
Download Nota Download MidiEwe fimbo ya shina la Yese mwokozi masiya/Ewe fimbo ya shina la Yese fanya uje Bwana, (uwaokoe na kila adui/ wautumainio wokovu wako wajalie wayashinde mauti x2 )
Mashairi:
1. Ewe ufunguo wa Daudi tufungulie lango la mbingu.
2. Linda njia iendayo huko sisi tupite bila taabu.
3. Shuka sasa chanzo cha mchana karibia utuchangamshe.
4. Tawanya mashaka ya usiku kiza cha kifo kitokomeze.
5. Mtamaniwa na mataifa unganisha mioyo ya watu.
6. Mgawanyiko sasa na uishe uwe mfalme wa amani.