Ingia / Jisajili

Hiki Ndicho Kizazi

Mtunzi: Mussa Jacobo Buzuli
> Mfahamu Zaidi Mussa Jacobo Buzuli
> Tazama Nyimbo nyingine za Mussa Jacobo Buzuli

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA

Umepakuliwa mara 146 | Umetazamwa mara 512

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kutolewa Bwana Hekaluni
- Katikati Watakatifu Wote
- Katikati Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hiki ndicho kizazi cha wa kutafutao cha wa kutafutao Ee Bwana x2

1. Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana dunia na wote wakaao ndani yake

2. Maana ameiweka misingi juu ya bahari na juu ya mito ya maji aliishibitisha

3. Hiki ndicho kizazi kizazi cha wa kutafutao uso wako Ee Mungu wa yako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa