Mtunzi: Mussa Buzuli
> Mfahamu Zaidi Mussa Buzuli
> Tazama Nyimbo nyingine za Mussa Buzuli
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 402 | Umetazamwa mara 1,524
Download Nota Download MidiOndoka Ee yerusalemu usimame juu tazama uione furaha inayokujia kutoka kwa mungu wako x2
BETI
1. Ee yerusalemu vua nguo za matanga na huzuni uvae uzuri wa utakatifu utokao kwa mungu mwenyezi
2. jifungie nguo ya haki itokayo kwa mungu jipige kilemba kichwani cha utukufu wake aliye wa milele
3. Maana Mungu ataidhihirisha nuru yako duniani mwote na jina lake litaitwa na mungu milele