Ingia / Jisajili

macho yetu humwelekea

Mtunzi: Mussa Buzuli
> Mfahamu Zaidi Mussa Buzuli
> Tazama Nyimbo nyingine za Mussa Buzuli

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 368 | Umetazamwa mara 1,234

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Macho yetu humwelekea Bwana mungu wetu hata atakapo turehemu

BETI

1. Nimekuinulia macho yangu wewe uketiye mbi - nguni

2. kwa vile macho ya ya watumishi, kwa mkono wa bwana bwana zao

3. kama macho ya mjakazi kwa mkono wa bibi bibi yake


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa