Ingia / Jisajili

Ingekuwa heri msikie sauti yake

Mtunzi: Mussa Buzuli
> Mfahamu Zaidi Mussa Buzuli
> Tazama Nyimbo nyingine za Mussa Buzuli

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 1,897 | Umetazamwa mara 4,438

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  • Kiitikio:

Ingekuwa heri leo msikie sauti yake msifanye migumu mioyo yenu x2

  • Mashairi:
  • 1.Njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
  • 2.Tuje mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe kwa zaburi kwa zaburi.
  • 3.Njoni tuabudu tusujudu tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.
  • 4.Kwa maana ndiye Mungu wetu sisi tu watu wa malisho yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa