Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 440 | Umetazamwa mara 662
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka C
2. Mpigie Mungu kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu utukufu wa jina lake mwambieni Mungu mwambieni Mungu matendo yako yatisha kama nini
3. Njoni yatazameni matendo matendo ya Mungu hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu aligeuza bahari ikawa nchi kavu katika mto walivuka kwa miguu