Ingia / Jisajili

Wakala Wakashiba Sana

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 65 | Umetazamwa mara 108

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 6 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 6 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 6 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wakala wakashiba sana maana Bwana aliwaletea walivyovitamani hawakuachana na matakwa yao X2

1. Akawanyeshea mana ili wale akawapa nafaka ya mbinguni

2. Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha ila chakula chao kikali ki vinywani mwao

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa