Ingia / Jisajili

Mungu Na Atufadhili

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mama Maria | Mwaka Mpya

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 730 | Umetazamwa mara 1,385

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Maria Mtakatifu Mama wa Mungu (1 Januari)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mungu na atufadhili Mungu (wetu) na atufadhili na kutubariki na kutubariki X2

1. Mungu na atufadhili na kutubariki na kutuangazia uso wake njia yake ijulikane duniani wokovu wake katikati ya mataifa yote

2. Mataifa na washangilie naam waimbe kwa furaha maana kwa haki utawahukumu watu na kuwaongoza mataifa walioko duniani

3. Nchi imetoa mazao yake Mungu, Mungu wetu ametubariki Mungu atatubariki sisi miisho yote ya dunia itamcha yeye

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa