Ingia / Jisajili

Mungu Yu Katika Nafsi Tatu

Mtunzi: John Mlelwa
> Mfahamu Zaidi John Mlelwa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlelwa

Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: John Mlelwa

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 3

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Mungu yu Katika nafsi tatu zote NI Mungu mmoja, anafanya kazi zake kama Mungu Mmoja.. Mungu Baba ametuumba na kutufanya watoto wake, Mungu mwana ametukomboa na uovu wetu wote, na Mungu Roho mtakatifu ametuimarisha

1. Nafsi zote huunganika na kuwa Mungu Mmoja, kwa nafsi tatu tunaunganika na kuwa Wana wa Mungu

2. Atukuzwe Mungu Baba -Baba, Mwana na Roho, kama mwanzo na siku zote na milele Amina


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa