Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 944 | Umetazamwa mara 3,630
Download Nota (TZS 20) Download MidiHuu ni mwili wa Kristu twendeni wote tupate kuula
Hii ni damu ni damu ya Kristu twendeni wote tupate kuinywa
Anatualika Kristu kwa unyenyekevu tukampokee.
Njooni wote kwa karamu ya muijiza na siri.