Ingia / Jisajili

Huu Ni Mwili Wangu

Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Paulo prince kabazo

Umepakuliwa mara 58 | Umetazamwa mara 88

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Huu ni mwili wangu utakao tolewa kwaajili yenu fanyeni hivi kwakunikumbuka. 2. Hii ni damu yangu itakayo mwagika kwaajili yenu fanyeni hivi kwakunikumbuka 3. Tutangaze fumbo la imani, kristu alikufa, kristu alifufuka, kristu atarudi tena.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa