Ingia / Jisajili

Namuungamia Mungu Baba (Misa Béatrice)

Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Paulo prince kabazo

Umepakuliwa mara 63 | Umetazamwa mara 101

Download Nota
Maneno ya wimbo
K/ Na muungamia Mungu Baba mwenyezi, na ninyi ndugu zangu yakama nimefanya dhambi tele. 1. Kwa mawazo kwamaneno kwamatendo ( naungama) Nakwakuacha mapashwa yangu yote (naungama.) Kosa langu kubwa sana (naungama) Ndio maana namuomba Maria (naungama) Bikira mtakatifu sikuzote (naungama) Malaika na watakatifu wote (naungama) Kuniombea kwa Bwana Mungu wetu (naungama.)

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa